
May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz wameiachia burudani ya nguvu kwa watu wao wa Dodoma, show iliyopewa jina la ‘Colors of Afrika’
Tayari nimekusogezea picha 15 kutokea eneo la tukio…

Watu wa nguvu Dodoma




Waziri Nape Nnauye




Diamond on stage

Diamond Platnumz na Mo j


Le Mutuz

Kifesi on stage


Diamond akipokea zawadi ya picha kutoka kwa shabiki wake

Post a Comment